-
Isaya 31:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Na Mwashuru atauawa kwa upanga, lakini si wa mwanadamu;+
Na upanga, usio wa mwanadamu, utamwangamiza.
Atakimbia kwa sababu ya upanga,
Na wanaume wake vijana watalazimishwa kufanya kazi za kulazimishwa.
-
-
Isaya 37:36Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
36 Na malaika wa Yehova akaenda na kuwaua wanaume 185,000 katika kambi ya Waashuru. Watu walipoamka asubuhi na mapema, waliona maiti zote hizo.+
-