-
Zaburi 57:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Wamechimba shimo mbele yangu,
Lakini wao wenyewe wameanguka ndani yake.+ (Sela)
-
-
Zaburi 141:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Waovu wote wataanguka pamoja ndani ya nyavu zao wenyewe+
Huku nikipitia karibu nazo kwa usalama.
-