-
Wimbo wa Sulemani 1:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Tazama! Wewe ni mrembo, mpenzi wangu.
Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni macho ya njiwa.”+
-
-
Wimbo wa Sulemani 4:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Umeuteka moyo wangu,+ dada yangu, bibi harusi wangu,
Umeuteka moyo wangu kwa kunitupia jicho mara moja tu,
Kwa kidani kimoja cha mkufu wako.
-