-
Wimbo wa Sulemani 2:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Mtini unaivisha tini zake za mapema;+
Mizabibu inachanua na kunukia manukato.
Inuka, mpenzi wangu, njoo.
Mrembo wangu, njoo twende zetu.
-