-
Kumbukumbu la Torati 28:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+
-
-
Kumbukumbu la Torati 28:33Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
33 Mavuno ya ardhi yako na mazao yako yote yataliwa na watu usiowajua,+ na sikuzote watu watawalaghai na kuwakandamiza.
-