-
Yeremia 40:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi waliokuwa uwanjani wakaja kwa Gedalia huko Mispa.
-
-
Yeremia 43:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Azaria mwana wa Hoshaya, Yohanani+ mwana wa Karea, na watu wote wenye kimbelembele wakamwambia Yeremia: “Unasema uwongo! Yehova Mungu wetu hakukutuma useme, ‘Msiende kukaa Misri.’
-