Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 11:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Atainua ishara* kwa ajili ya mataifa na kuwakusanya watu wa Israeli+ waliotawanywa, na watu wa Yuda waliotawanywa atawakusanya pamoja kutoka katika pembe nne za dunia.+

  • Yeremia 3:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 “Siku hizo watatembea pamoja, nyumba ya Yuda kando ya nyumba ya Israeli,+ na pamoja watatoka katika nchi ya kaskazini na kuingia katika nchi niliyowapa mababu zenu kuwa urithi.+

  • Hosea 1:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Na watu wa Yuda na wa Israeli watakusanywa pamoja ili wawe na umoja+ nao watajichagulia kiongozi mmoja na kupanda kutoka nchini, kwa maana siku ya Yezreeli itakuwa kuu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki