Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 35:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Kisha Mungu akamwambia Yakobo: “Ondoka, uende Betheli, ukakae huko,+ nawe umjengee madhabahu Mungu wa kweli, aliyekutokea ulipokuwa ukimkimbia Esau ndugu yako.”+

  • Mwanzo 35:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha akajenga madhabahu huko. Akaanza kupaita mahali hapo El-betheli, kwa sababu Mungu wa kweli alikuwa amejifunua kwake mahali hapo alipokuwa akimkimbia ndugu yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki