Mwanzo 21:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Naye akakaa katika nyika ya Parani,+ na mama yake akamchukulia mke kutoka nchi ya Misri. Waamuzi 14:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi akapanda, akamwambia baba yake na mama yake, akisema: “Nimemwona mwanamke mmoja huko Timna kati ya binti za Wafilisti, basi sasa mniletee mwanamke huyo awe mke wangu.”+
2 Basi akapanda, akamwambia baba yake na mama yake, akisema: “Nimemwona mwanamke mmoja huko Timna kati ya binti za Wafilisti, basi sasa mniletee mwanamke huyo awe mke wangu.”+