Mwanzo 45:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Nami nitakupa chakula huko, kwa maana bado kuna miaka mitano ya njaa;+ usije kuwa maskini wewe na nyumba yako na kila kitu ulicho nacho.’” Mwanzo 47:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Nao wakaanza kumletea Yosefu mifugo yao; naye Yosefu akawapa mkate kwa kubadilishana na farasi zao na makundi na mifugo na punda,+ naye akawapa mkate kwa kubadilishana na mifugo yao yote mwaka huo.
11 Nami nitakupa chakula huko, kwa maana bado kuna miaka mitano ya njaa;+ usije kuwa maskini wewe na nyumba yako na kila kitu ulicho nacho.’”
17 Nao wakaanza kumletea Yosefu mifugo yao; naye Yosefu akawapa mkate kwa kubadilishana na farasi zao na makundi na mifugo na punda,+ naye akawapa mkate kwa kubadilishana na mifugo yao yote mwaka huo.