Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 42:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Lakini, akasema: “Mwanangu hatashuka kwenda nanyi, kwa sababu ndugu yake amekufa naye amebaki peke yake.+ Tukio lenye kufisha likimpata katika njia mtakayoiendea, basi bila shaka mtazishusha mvi zangu kwa huzuni mpaka katika Kaburi.”*+

  • Mwanzo 44:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Baadaye mmoja aliniacha nami nikasema: “Ah, haikosi ameraruliwa vipande-vipande!”+ nami sijamwona mpaka leo hii.

  • Luka 24:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Hata hivyo, maneno hayo yalionekana kama upuuzi kwao nao wakawa hawawaamini+ wanawake hao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki