Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 8:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Unamfanya atawale juu ya kazi za mikono yako;+

      Kila kitu umekiweka chini ya miguu yake:+

  • Isaya 11:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Hawatasababisha madhara+ yoyote wala kusababisha uharibifu wowote katika mlima wangu wote mtakatifu;+ kwa maana dunia hakika itajawa na kumjua Yehova kama vile maji yanavyoifunika bahari.+

  • Yakobo 3:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa maana kila aina ya mnyama-mwitu na vilevile ndege na kitu kinachotambaa na kiumbe cha baharini ni vya kufugwa navyo vimefugwa na binadamu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki