-
Luka 17:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 “Siku hiyo mtu aliye juu ya paa ya nyumba lakini ambaye vitu vyake vinavyoweza kuchukuliwa vimo katika nyumba asishuke kuvichukua, na mtu aliye nje katika shamba, yeye vivyo hivyo asirudie vitu vilivyo nyuma.
-