-
Mwanzo 16:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye Abramu alikuwa na umri wa miaka 86 Hagari alipomzalia Ishmaeli.
-
-
Mwanzo 21:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Naye Abrahamu alikuwa na umri wa miaka mia moja wakati Isaka mwana wake alipozaliwa.
-