Mambo ya Walawi 4:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Naye atamfanya huyo ng’ombe-dume kama alivyomfanya yule ng’ombe mwingine wa toleo la dhambi. Hivyo ndivyo atakavyomfanya; naye kuhani atafanya upatanisho+ kwa ajili yao, ndipo watasamehewa.
20 Naye atamfanya huyo ng’ombe-dume kama alivyomfanya yule ng’ombe mwingine wa toleo la dhambi. Hivyo ndivyo atakavyomfanya; naye kuhani atafanya upatanisho+ kwa ajili yao, ndipo watasamehewa.