35 Na kile kifundo kilicho chini ya matawi mawili chatoka kwake na kifundo kilicho chini ya yale matawi mawili mengine chatoka kwake na kifundo kilicho chini ya matawi mengine mawili chatoka kwake, kwa ajili ya yale matawi sita yanayotoka katika kinara.+