Kutoka 30:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Nawe utaifunika kwa dhahabu safi, sehemu yake ya juu na sehemu zake za kando kuzunguka pande zote na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuzunguka pande zote.+
3 Nawe utaifunika kwa dhahabu safi, sehemu yake ya juu na sehemu zake za kando kuzunguka pande zote na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuzunguka pande zote.+