-
Kutoka 26:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na kutakuwa na viunzi vinane na vikalio vyake vya fedha, vikalio kumi na sita, vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja na vikalio viwili chini ya kile kiunzi kingine.
-
-
Kutoka 26:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Nawe utaliweka juu ya nguzo nne za mshita zilizofunikwa kwa dhahabu. Misumari yake itakuwa ya dhahabu. Zinakaa juu ya vikalio vinne vya fedha.
-