Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Baada ya muda, binti ya Farao akaja kuoga katika Mto Nile, nao wanawake wa kumhudumia walikuwa wakitembea kando ya Mto Nile. Naye akaiona ile safina katikati ya matete. Mara moja akamtuma kijakazi wake aende akailete.+

  • Kutoka 8:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kisha Yehova akamwambia Musa: “Amka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao.+ Tazama! Anatoka kwenda majini! Nawe utamwambia, ‘Hivi ndivyo Yehova amesema: “Waruhusu watu wangu waende zao ili wanitumikie.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki