Mwanzo 17:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Na kila mwanamume wa kwenu wa umri wa siku nane lazima atahiriwe,+ kulingana na vizazi vyenu, yeyote aliyezaliwa ndani ya nyumba na yeyote aliyenunuliwa kwa pesa kutoka kwa mgeni yeyote ambaye si wa uzao wako.
12 Na kila mwanamume wa kwenu wa umri wa siku nane lazima atahiriwe,+ kulingana na vizazi vyenu, yeyote aliyezaliwa ndani ya nyumba na yeyote aliyenunuliwa kwa pesa kutoka kwa mgeni yeyote ambaye si wa uzao wako.