Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 14:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Mara moja Musa akaunyoosha mkono wake juu ya bahari, nayo bahari ikaanza kurudia hali yake ya kawaida asubuhi ikikaribia. Wakati wote huo Wamisri walikuwa wakikimbia wasikutane nayo, lakini Yehova akawakung’uta Wamisri katikati ya bahari.+

  • Yoshua 24:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Nilipokuwa nikiwatoa baba zenu kutoka Misri+ nanyi mkaja kwenye ile bahari, ndipo Wamisri walipowafuatilia+ baba zenu wakiwa na magari ya vita na wapanda-farasi mpaka kwenye Bahari Nyekundu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki