Mambo ya Walawi 4:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Naye kuhani atachukua sehemu ya damu ya toleo la dhambi kwa kidole chake na kuitia juu ya pembe+ za madhabahu hiyo ya toleo la kuteketezwa, naye ataimimina damu yake inayobaki kwenye msingi wa madhabahu ya toleo la kuteketezwa.
25 Naye kuhani atachukua sehemu ya damu ya toleo la dhambi kwa kidole chake na kuitia juu ya pembe+ za madhabahu hiyo ya toleo la kuteketezwa, naye ataimimina damu yake inayobaki kwenye msingi wa madhabahu ya toleo la kuteketezwa.