-
Mambo ya Walawi 15:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Nao huu utakuwa uchafu wake kutokana na kinachomtoka: Iwe kiungo chake cha uzazi kimetiririka kwa mtiririko unaotoka au kiungo chake cha uzazi kimezuiliwa kutokana na mtiririko wake unaotoka, huo ni uchafu wake.
-