6 Na ikiwa umri ni kuanzia mwezi mmoja mpaka miaka mitano, basi thamani iliyokadiriwa ya mwanamume itakuwa shekeli tano+ za fedha na kwa ajili ya mwanamke thamani iliyokadiriwa itakuwa shekeli tatu za fedha.
16 Na kwa bei ya ukombozi kwa ajili yake kuanzia umri wa mwezi mmoja na kuendelea utamkomboa, kwa thamani iliyokadiriwa, shekeli 5 za fedha kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.+ Ni gera 20.+