Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 5:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 na roho ya wivu+ imempata mume wake, naye ameutilia shaka uaminifu wa mke wake, na mwanamke huyo kwa kweli amejitia unajisi, au roho ya wivu imempata mume wake, naye ameutilia shaka uaminifu wa mke wake, lakini yeye kwa kweli hajajitia unajisi;

  • Hesabu 5:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 basi mwanamume huyo lazima amlete mke wake kwa kuhani+ na kuleta toleo lake pamoja naye, sehemu ya kumi ya efa ya unga wa shayiri. Hatamimina mafuta juu yake wala kuweka ubani+ juu yake, kwa sababu ni toleo la nafaka la wivu, toleo la ukumbusho linaloleta kosa kwenye kumbukumbu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki