Waamuzi 7:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Na sasa tafadhali, ita masikioni mwa watu, ukisema, ‘Ni nani anayeogopa na kutetemeka? Na ajiondoe.’”+ Basi Gideoni akawafanyia majaribio. Ndipo watu 22,000 wakajiondoa, wakabaki watu 10,000.
3 Na sasa tafadhali, ita masikioni mwa watu, ukisema, ‘Ni nani anayeogopa na kutetemeka? Na ajiondoe.’”+ Basi Gideoni akawafanyia majaribio. Ndipo watu 22,000 wakajiondoa, wakabaki watu 10,000.