Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 29:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Naye Yakobo akatumikia miaka saba kwa ajili ya Raheli,+ lakini machoni pake hiyo ikawa kama siku chache kwa sababu alimpenda.+

  • Mwanzo 34:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Nayo nafsi yake ikaanza kushikamana na Dina binti ya Yakobo, naye akampenda huyo mwanamke kijana, akawa akiongea na huyo mwanamke kijana kwa kumshawishi.

  • Waamuzi 14:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi akapanda, akamwambia baba yake na mama yake, akisema: “Nimemwona mwanamke mmoja huko Timna kati ya binti za Wafilisti, basi sasa mniletee mwanamke huyo awe mke wangu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki