Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 32:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Haruni akawaambia: “Ng’oeni vipuli vya dhahabu+ vilivyo katika masikio ya wake zenu, ya wana wenu na ya binti zenu mniletee.”

  • Kutoka 32:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Kisha Musa akamwambia Haruni: “Watu hawa walikufanya nini hivi kwamba umeleta dhambi kubwa juu yao?”

  • Kutoka 32:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Naye Yehova akaanza kuwaletea watu hao pigo kwa sababu walikuwa wameifanya ile ndama, ambayo Haruni alikuwa ameifanya.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki