-
Yoshua 6:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Nanyi nyote wanaume wa vita mtapiga mwendo kulizunguka jiji, mkilizunguka jiji mara moja. Hivyo ndivyo utakavyofanya kwa siku sita.
-