-
Yoshua 8:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na wote walioanguka siku hiyo, kuanzia mwanamume mpaka mwanamke, jumla yao ilikuwa kumi na mbili elfu, watu wote wa Ai.
-