Yoshua 11:1 Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Na ikawa kwamba mara tu Yabini mfalme wa Hasori aliposikia habari hizo, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni+ na kwa mfalme wa Shimroni na mfalme wa Akshafi,+
11 Na ikawa kwamba mara tu Yabini mfalme wa Hasori aliposikia habari hizo, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni+ na kwa mfalme wa Shimroni na mfalme wa Akshafi,+