Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 32:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Ikiwa wana wa Gadi na wana wa Rubeni watavuka pamoja nanyi Yordani, kila mtu aliye tayari kwa ajili ya vita,+ mbele za Yehova, nayo nchi itiishwe mbele yenu, basi ninyi mtawapa nchi ya Gileadi iwe miliki yao.+

  • Yoshua 13:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na pamoja na ile nusu nyingine ya kabila, Warubeni na Wagadi walichukua urithi wao ambao Musa aliwapa ng’ambo ya Yordani iliyo upande wa mashariki, kama vile Musa mtumishi wa Yehova alivyokuwa amewapa,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki