Waamuzi 19:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Ndipo mwanamke huyo akaja asubuhi ilipokuwa ikikaribia, akaanguka mlangoni pa nyumba ya yule mtu ambapo bwana wake alikuwa,+—mpaka wakati wa mapambazuko.
26 Ndipo mwanamke huyo akaja asubuhi ilipokuwa ikikaribia, akaanguka mlangoni pa nyumba ya yule mtu ambapo bwana wake alikuwa,+—mpaka wakati wa mapambazuko.