Waamuzi 19:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ndipo akaingia ndani ya nyumba yake, akachukua kisu cha kuchinjia, akamshika yule suria wake, akamkatakata vipande kwa kufuatisha mifupa yake, vipande kumi na viwili+ naye akampeleka katika kila eneo la Israeli.+
29 Ndipo akaingia ndani ya nyumba yake, akachukua kisu cha kuchinjia, akamshika yule suria wake, akamkatakata vipande kwa kufuatisha mifupa yake, vipande kumi na viwili+ naye akampeleka katika kila eneo la Israeli.+