-
Waamuzi 4:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na, tazama! Baraka alikuwa anamfuatilia Sisera. Basi Yaeli akatoka nje kumpokea, akamwambia: “Njoo, nami nitakuonyesha mtu unayemtafuta.” Basi akaingia kwake ndani, na, tazama! Sisera alikuwa ameanguka na amekufa, nacho kigingi kikiwa katika kipaji cha uso wake.
-