- 
	                        
            
            Mambo ya Walawi 11:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        27 Na kila kiumbe kinachotembea kwa miguu yenye makucha kati ya viumbe hai vinavyoenda kwa miguu minne, hao si safi kwenu. Kila mtu anayeigusa mizoga yao atakuwa asiye safi mpaka jioni. 
 
-