-
Mathayo 1:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Ndipo Yosefu akaamka kutoka katika usingizi na kufanya kama malaika wa Yehova alivyokuwa amemwagiza, naye akamchukua mke wake na kwenda naye nyumbani.
-