-
Mwanzo 5:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na baada ya kumzaa Methusela, Enoko akaendelea kutembea pamoja na Mungu wa kweli miaka 300. Wakati uleule akazaa wana na mabinti.
-