4 Basi kati ya zile njia ambazo Yonathani alitafuta kuvukia kwenda juu ya kituo cha mbele+ cha Wafilisti, kulikuwa na mwamba ulio na umbo la jino upande huu na mwamba ulio na umbo la jino upande ule mwingine, na jina la ule mmoja lilikuwa ni Bosesi na jina la ule mwingine lilikuwa ni Sene.