Mwanzo 37:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu.
14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu.