2 Samweli 2:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ish-boshethi, mwana wa Sauli, alikuwa na umri wa miaka 40 alipokuwa mfalme juu ya Israeli, naye akatawala akiwa mfalme kwa miaka miwili. Ni nyumba ya Yuda+ peke yao ndio waliomfuata Daudi.
10 Ish-boshethi, mwana wa Sauli, alikuwa na umri wa miaka 40 alipokuwa mfalme juu ya Israeli, naye akatawala akiwa mfalme kwa miaka miwili. Ni nyumba ya Yuda+ peke yao ndio waliomfuata Daudi.