Mwanzo 14:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Ndipo mfalme wa Sodoma akatoka kwenda kumpokea baada ya kurudi kutoka kumshinda Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, katika Nchi Tambarare ya Chini ya Shave, yaani, Nchi Tambarare ya Chini ya mfalme.+
17 Ndipo mfalme wa Sodoma akatoka kwenda kumpokea baada ya kurudi kutoka kumshinda Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, katika Nchi Tambarare ya Chini ya Shave, yaani, Nchi Tambarare ya Chini ya mfalme.+