2 Kwa hiyo Abrahamu akamwambia mtumishi wake, yule mwenye umri mkubwa zaidi wa nyumbani mwake, aliyekuwa anasimamia vyote alivyokuwa navyo:+ “Tafadhali, weka mkono wako chini ya paja langu,+
4 Na Yosefu akazidi kupata kibali machoni pake naye akamtumikia siku zote hata akamweka juu ya nyumba yake,+ na vitu vyote vilivyokuwa vyake akaviweka mkononi mwake.