-
Mwanzo 16:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Naye akaanza kusema: “Hagari, mjakazi wa Sarai, umetoka wapi nawe unaenda wapi?” Naye akajibu: “Mimi ninakimbia kutoka kwa Sarai bimkubwa wangu.”
-