Yoshua 1:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+
11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+