Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 6:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 na walete mavazi ya kifalme+ ambayo mfalme huvaa na farasi ambaye mfalme hupanda+ ambaye amevikwa taji la kifalme juu ya kichwa chake.

  • Mathayo 11:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi, mlienda kuona nini? Mtu aliyevaa mavazi mororo? Kwani, wale wanaovaa mavazi mororo wamo katika nyumba za wafalme.+

  • Matendo 12:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini siku fulani iliyowekwa Herode akajivika vazi la kifalme na kuketi juu ya kiti cha hukumu na kuanza kuwatolea hotuba ya watu wote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki