-
1 Wafalme 2:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kwa hiyo Shimei akamwambia mfalme: “Neno hili ni jema. Mtumishi wako atafanya vile ambavyo bwana wangu mfalme amesema.” Na Shimei akaendelea kukaa katika Yerusalemu siku nyingi.
-