Mwanzo 16:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Jeuri niliyotendewa na iwe juu yako. Mimi nilimtia mjakazi wangu kifuani pako, naye alipojua kwamba ana mimba, akaanza kunidharau machoni pake. Yehova na ahukumu kati yangu na wewe.”+
5 Basi Sarai akamwambia Abramu: “Jeuri niliyotendewa na iwe juu yako. Mimi nilimtia mjakazi wangu kifuani pako, naye alipojua kwamba ana mimba, akaanza kunidharau machoni pake. Yehova na ahukumu kati yangu na wewe.”+