-
Ezekieli 45:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 na kuhusu posho la mafuta, kuna kipimo cha bathi cha mafuta. Bathi ni sehemu ya kumi ya kori. Bathi kumi ni homeri moja; kwa sababu bathi kumi ni homeri moja.
-