7 Basi wanaume wazee wa Moabu na wanaume wazee wa Midiani wakasafiri wakiwa na malipo ya uaguzi+ mikononi mwao nao wakaenda kwa Balaamu+ na kumwambia maneno ya Balaki.
8 Basi mtumishi akamjibu Sauli tena na kusema: “Tazama! Kuna sehemu ya nne ya shekeli+ ya fedha mkononi mwangu, nami nitampa huyo mtu wa Mungu wa kweli, naye atatuambia njia yetu.”